
3,695 views
31 Jan 2023
Video; #gctvmedialtd Audio; #Sifatunestudios Composer; Steve Kogirah Instrumentals; Allan Dingy Warning Bells Ministers Contact; warnbellsmins@gmail.com Facebook: Warning Bells Ministers Tiktok: @thewarningbells https://vm.tiktok.com/ZMYFLwQqY/ Inuka Bwana lyrics... Wewe Bwana nguvu zangu... nakupenda sana Mungu, jabali langu, boma langu, mwamba wangu mwokozi wangu, nini usiloliweza chini ya jua.... Nakuomba uniokoe mi toka kwa adui zangu. Maisha haya yanigeukia Bwana, moyoni nina machungu. Maumivu kila mara, inuka Bwana unishike mimi kwa mkono wako unirehemu. Mungu wa Israeli tazama wajane, mayatima walemavu, wale wanakandamizwa, wagonjwa wale wamepooza aah...twaomba rejesha tumaini lao.