
15,167 views
18 Dec 2022
Ee Israeli lyrics Ee Israeli mrudie bwana mungu wako maana umeanguka kwa sababu ya uovu wako.Chukueni maneno pamoja nanyi mkamrudie bwana. (Mkamwombe) aondoe maovu yote na myatakabali yaliyo mema. Atafuta yote bwana Mungu, tasemehe yote. (Atatuweka huru) nasi tuwe huru hakika. Hadi wakati huu bado hatujaomba jambo lolote toka kwake maulana ee Israeli bwana yuasubiri. Mwanakondoo aondoaye dhambi za waja wake, yuasubiri tuje tobani. Yuna uhakikisho wa kutuweka huru, tatuweka huru hakika. Mianzi ya pua zetu yapitisha pumzi isiyopata lipishwa na mtoaji wake. Hivyo tujasirike kwake mpaji, alomuweza wa yote. Tena (Ni mjuzi) wa mizungu yote halikadhalika msamehe wa maovu. Email: warnbellsmins@gmail.com Audio: #sifatunestudios Video #gctvmedialtd Composer: Oiro Wycliffe All rights Reserved by Warning Bells Ministers Nakuru - Kenya