
2,174 views
17 Sep 2022
#Warningbells #Sifatunestudios Contact: warnbellsmins@gmail.com YanapoivaTazama kikapu cha matunda, majira yake ni ya hari, katu sitawaacha wanangu tena mwisho umewajilia. Chorus Yanapoiva yuatenda, yanapoiva atatenda, ukombozi ulija yalipoiva. Nyakati zilizoliwa na nzige atazirejesha, atatenda kwa wakati wake, subiri subiri yaive. Tazama misimu na majira, kukuchapo na kutuapo, hamna afahamuye ila Mungu aliye wa wakati mwema.
