
19,876 views
18 Nov 2021
#AudioSifatuneStudios #AlbumYakobo Tazama mara saba moto umewekwa, amri imekwisha tolewa na Mfalme. Vijana Hanania, Mishaeli pamoja na Azaria, wapangiwa kifo cha moto, watupwe motoni wafe kule motoni! Hao wameonekana hawatii amri yake Mfalme. Umepanga lipi kwa wenzako e mwanadamu uitwaye kwa jina lake mungu. Je, wafahamu hilo ulipangalo laweza kukugeukia? Walotumwa kuwatupa wale vijana waibrania motoni, hao waliungua hakika waligeukiwa! Waweza sema hili lile kwa mwenzako, upange moyoni mwako kumwangusha.Maulana na halali fikra zake kweli si za binadamu. Wasije wakatupwa nje wakaharibiwe, wasije fanikiwa hao, Mungu wetu nayeye halali, usipange mabaya.