
2,260 views
27 Dec 2020
Ukikutana na Yesu, atabadilisha maisha yako. Batimayo kipofu alikutana na Yesu, (mimi ninajua nimepata kuona, nimepata kuona) ×2 Mungu atenda miujiza maishani mwetu, umruhusu akuguse macho uone tena, uwe na maisha mapya. Shetani ni mjanja yeye ametupofusha hatuoni ya mbingu uu, tusiwe kama nguruwe anayesafishwa nakurudi matopeni. Copy Right #WarningBellsMinisters #2020
