This video is no longer available on YouTube. You can still watch more from the same artists below.

11 Feb 2021
Obotaka Obo – Official Music Video A real-life story by Producer Annoint Audio & Video by Annoint Media Studio’s – Kisii, Kenya Nilipitia maisha magumu sana. Baada ya matanga, kila mtoto akaenda kwa jamaa tofauti. Nilipofika kwao, nilifanywa kama mtumwa – kuamka mapema, kufua, kuosha nyumba, kubeba maji – halafu watoto wao wanaenda shule, mimi napigwa mguu kwa kuchelewa. Chakula nilinyimwa. Wakati mwingine nikipanguza meza, nachukua mifupa kwa siri, naenda kula kwa choo. Maisha ikawa ngumu sana hadi nikatoroka – nikawa chokora kwa miaka miwili. Lakini ndoto haikufa. Maumivu haya ndiyo yalinijenga. Leo niko hapa kama Producer Annoint, na hii ndiyo story yangu. Obotaka Obo si tu wimbo – ni ushuhuda. Kutoka mitaani hadi studio. Kutoka machozi hadi ndoto.