268 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 21 Oct 2026
9:27
Wananchi wanatoa maoni yao kuhusu juhudi za Rais William Ruto katika kusaidia vijana, hasa katika ajira, biashara na fursa za kiuchumi. Je, vijana wananufaika na mipango ya serikali au bado wanakabiliwa na changamoto?