
2,314 views
Siasa za Kenya zinazidi kunoga! Rigathi Gachagua amekutana na timu ya Linda Mwananchi, lakini baadhi ya viongozi wa timu hiyo hawakuwepo kwenye mkutano huo. Je, hali hii inathibitisha madai ya DCP kwamba wanaunda muungano kwanza kabla ya hatua nyingine za kisiasa?