
8 views
aratani ya njia ya uzazi ni mada muhimu inayohitaji uelewa na uangalifu. Je, unazifahamu dalili za tahadhari, vihatarishi na umuhimu wa uchunguzi wa mapema? Jiunge nasi katika makala ya afya tunapozungumzia saratani ya njia ya uzazi, namna ya kupunguza vihatarishi na umuhimu wa kutafuta ushauri wa kitaalamu mapema.