262 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 21 Oct 2026
4:21
AFC Leopards waipiga Kenya Police FC 2-1 na kuibuka na ushindi. Huku UEFA Champions League, PSG wakaichapa Barcelona 4-2. Wadau, unawapa nani ushindi leo katika mechi hizi mbili; Como vs Manchester United na Bayern Munich vs Arsenal!