177 views
Lawrence Kameja
14 Feb 2023
Katika Maisha kuna magumu mengi sana yanayoweza kukatisha tamaa. Kamwe usisahau Mungu yupo na hatakuacha wimbo umetungwa na Ray Ufunguo, Ukaimbwa na Lawrence Kameja na kurekodiwa na RAJO Productions