
12,852 views
2 Jan 2021
Has it been easy ? NO! Is GOD able? Psalm 37:24 Though he may stumble, he will not fall, for the Lord upholds him with His hand! #CHRISTIAN WORSHIP SONG IN SWAHILI AND ENGLISH! LYRICS: SUBIRI (HOLD ON) VERSE 1 Wewe ni Mungu, wala siyo mwanadamu, Kweli ni Mungu, bali siyo binadamu. Ulitembea juu ya bahari, ukalisha umati. Kwa uguso wako tukaona, tukainuka na kutembea. Uligawa bahari ya shamu, wafingwa wakawa huuru. Huyu ni mungu yupi? Ni Mungu wa agano. Wewe ni Mungu, wala siyo mwanadamu, Kweli ni Mungu, bali siyo binadamu, yeyeeyeee! CHORUS Subiri, usife moyo, ye ni Mungu, hifadhi la agano. Ngojea, usife moyo, hajawahi, kamwe kosekana. Subiri, usife moyo, ye ni Mungu, hifadhi la agano. Ngojea, usife moyo, hajawahi, kamwe shindwa. Mungu wetu muweza, anaweza, anaweza, aweza kuokoa. Mungu mwenye uwezo, anaweza, anaweza, aweza kukuponya. Just hold on, heeey Hold on. BRIGDE Hold on you dont have to give up ( huuu, haaa, heey) Subiri usikate kauli ( huuu, haaa, heeey) VERSE 2 Uligawa bahari ya shamu, wafungwa wakawa huru! Huyu ni Mungu yupi? Ni Mungu wa agano. Wewe ni Mungu, wala siyo mwanadamu, wewe eeeeh wewe ehhhwewe! CHORUS. # #E N D #SUBIRI #HOLDON