
16,144 views
23 Jul 2021
Uzaidi ni wimbo wa kumwabudu bwana unaosema mungu ni zaidi ya vile nionavyo na vile niwazavyo kama mwanadamu# niwazavyo kushindwa bwana ni zaidi ya pale ,na pia yeye ni zaidi ya magonjwa sugu kama corona na pia magonjwa ya kisukari na pia hali yetu kama wanadamu .. Chorus:U zaidi ya vile nionavyo uzaidi ,uzaidi ya vile niwazavyo uzaidi ,uzaidi ya vile nijuavyo uzaidi eeh bwana aah.. mungu akubariki unapotazama huu wimbo na roho mtakatifu akuongoze na wacha mungu hawe zaidi ya kila kitu kwa maisha yako...be blessed. Timothy musyoka is my name...may God increase you and take you to another level.
