124 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 22 Oct 2026
13:24
Irene Munene afichua jinsi alivyopitia kipindi kigumu maishani, ambapo alijikuta akitumia bangi na pombe huku akipambana na changamoto zake. Tazama simulizi yake ya maisha na mapambano aliyopitia