244 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 22 Oct 2026
2:59
Mazungumzo kuhusu muungano mpana wa kisiasa yanazidi kushika kasi huku chama cha DCP kinachoongozwa na Rigathi Gachagua na mrengo wa Linda Mwananchi unaohusishwa na Edwin Sifuna wakitarajiwa kufanya mkutano wa pamoja Nyahururu wikendi hii.