32 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 22 Oct 2026
17:59
Katika maisha yetu, tunafaa kujiuliza ikiwa huwa tunamrudia Mwenyezi Mungu kusema asante kwa mambo mema anayotutendea. Tusisubiri tu wakati wa shida ndipo tumtafute, bali tujifunze kumshukuru kwa baraka zake kila siku.