127 views
Konnect on Radio Maisha
Aired 22 Oct 2026
5:23
Zari Hassan apiga magoti kumsalimu mumewe Shakib Cham kama ishara ya heshima, na kuzua mjadala kuhusu mila na desturi za zamani na nafasi yake katika ndoa za kizazi cha leo.