
520,094 views
Hitman Kaht feat MastarVK and Scar Mkadinali
22 Dec 2020
KENYA SIHAMI - HITMAN KAHT X MASTAR VK X SCAR MKADINALI.(Official Video.) Stream Kenya Sihami https://linktr.ee/KenyaSihami Lyrics Wale wa west wale wa west wako wet drip Wale wa East kwa mabeast betika betslip Ujanja ya memes ni bundles IG hatuwezi wahandle Masponyo na mpango wa kando Wanacompete na maninja Eastlando Kenya Sihami Kenya Sihami Kenya Sihami Kenya Sihami Nganya ngori ni kanambo Leo nafire shots ka Rambo Baba yao Agwambo Tangu za kale tangu kitambo Kenya Sihami Kenya Sihami Kenya Sihami Kenya Sihami Kenya Sihami si ndio hujenga hadi nyumba kwa lami Usiniite Mukami ju sina mangombe na mimi sikami Unaona kitambi pole lakini mi naona ni tummy Nipate nyumbani nadishi mangoko hadi juu ya sahani Hukati makali hushikishi kajaba na buda hunyanyi We Kenya uhame ju huna wasupa na buda huhanyi Kazi ni kazi kipaji ni kazi epuka madwanzi Uza vibanzi hata kama ni mwitu kachonge viazi Usiringe ju wewe ni manzi ushinde umepiga mapicha kejani Hujui kupika jameni huezi hata ongeza maziwa majani Kenya Sihami Kenya Sihami Kenya Sihami Kenya Sihami Nganya ngori ni kanambo Leo nafire shots ka Rambo Baba yao Agwambo Tangu za kale tangu kitambo Kenya Sihami Kenya Sihami Kenya Sihami Kenya Sihami Kenya si kwangu Kenya si kwako lakini bado sihami Kenya ni ya RAO Uhunye na Ruto wasitubebe madwanzi Street imejaza vituko inabidi me nibebange bangi Napatia msupa kiboko kama ni pesa akasake mlami Ka una stress we kam tuive Bado niko ghetto choo ziko nje Nikiwa mtaani roho iko eazeh But wanajua me ni Rong uko nje Must walipe wacha leo ras aringe Vijana wanataka maridhee Mambanga wanataka watuuzie Bora dishi na nichome kikolo bado me nitashinda nimezoza Me naona Wakenya wakishikana mikono tunaza kaiba pamoja XXXL ndio jacket kwa goro ndio niwasundie mabidhaa Sikuwa nao uongo nilikuwa solo nikichomea koja Wale wa west wale wa west wako wet drip Wale wa East kwa mabeast betika betslip Ujanja ya memes ni bundles IG hatuwezi wahandle Masponyo na mpango wa kando Wanacompete na maninja Eastlando Kenya Sihami Kenya Sihami Kenya Sihami Kenya Sihami Nganya ngori ni kanambo Leo nafire shots ka Rambo Baba yao Agwambo Tangu za kale tangu kitambo Kenya Sihami Kenya Sihami Kenya Sihami Kenya Sihami #KenyaSihami #PlayKemusic
MastarVK feat Metro Stunna and Ebola Mkuu