
40,031 views
31 Jul 2022
for Bookings kakadeno30@gmail.com Nasema basi,Kukuacha sio kazi, Ila moyo ndio basi, Unangangania Na tena freshi, Sio fungu langu Nilikosa kuchagua, (Oooh mama) Yaani freshi sio fungu langu nilikosa kichagua (ooh lona) Hata sijui nisemee aje, moyo umefanya ugande, (ugande) Najaribu kuudhibiti Ila bado unadai vile vile (Eeh) Najua nitakosa kusimama Labda nitakonda zaidi Ila simind nishakata tama We nenda tu basi Najua nitakosa kusimama Labda nitakonda zaidi Ila simind nishakata tama We nenda tu basi Asa basi! basi! Basi! basi! (Siyawezi) Majuto, ni mjukuu na "Ningejua" huja mwisho wa safari Vidonda nitavishona,japo ni uchungu nakosa raha Sitokulaumu kwa kujitakia mema Haina noma nitapona wewe nenda Natamani sekunde zingejirudia tuanze tena! Sitokulaumu kwa kujitakia mema Haina noma nitapona wewe nenda Natamani sekunde zingejirudia tuanze tena! Sitasahau sura yako yenye uruka wa kuvutia Marash yako matamu,Kwa picha zako sikuwaza nililalama nilizizima eeh sitasahau maneno yako mazuri Kwa yako sauti nilikosa pumzi Na sitasahau wako ucheshi (aaah) Najua nitakosa kusimama Labda nitakonda zaidi Ila simind nishakata tama We nenda tu basi Najua nitakosa kusimama Labda nitakonda zaidi Ila simind nishakata tama We nenda tu basi Asa basi! basi! Basi! basi! (Siyawezi) #music #kakadeno #kenya #viral #pop #love #newmusic