
622 views
Karibu ndani ya kipindi chako cha Kenya Leo, ukiwa na Chris Kimuyu na Suleiman Yeri, kuanzia saa 7:30 hadi saa 9:00 usiku. Leo tunazungumzia ugonjwa wa Ebola na siasa za Kenya. Je, muungano wa Rigathi na Sifuna unaonaje? #RadioZaidiYaRadio #KenyaLeo