
15,120 views
7 Jun 2024
#sdachurch #adventistmusic #GGS #gctvmedialtd KELELE © Grace & Glory Singers 2024 Kelele zimetanda watu wapiga yowe, Msulubishe Yesu tupe Baraba Alifanya miujiza mikubwa Yesu, Hakuna hakuna tupe Baraba Alifufua wafu huyu Yesu, Hakuna asulubiwe Mara nyingi tunapokuwa fukara twajinyenyekeza mblele zake Mungu Kisha tunapoinuliwa juu na Mungu, Twajipiga kidari twajawa na ndweo Twamkana Mpaji wa vitu vyote, Twadhani ni kwa nguvu zetu Ujanja wako hautakufaidi kitu, Tafuta uso wa Bwana Kama bado una nguvu, Andamana nasi twaenda mbinguni Mbona wajifanya manamba unapanga watu kusafiri safari ya mbinguni Kumbe wewe wabaki, jipige msasa ni wapi ulikoanguka Kuhubiri umehubiri sana, umeimba sana Ukaongoa roho za watu wengi wakarudi zizini mwa Bwana Kumbe ndani wewe mbwa mwitu yule mkali, Utatemwa siku ya mwisho Ujanja wako hautakufaidi kitu, Tafuta uso wa Bwana Kama bado una nguvu, Andamana nasi twaenda mbinguni Join this channel to get access to perks: https://www.youtube.com/channel/UCLCW6V2Fs_Z4VNLjH67nRUQ/join