This video is no longer available on YouTube. You can still watch more from the same artists below.

18 Apr 2025
#teamsifu #nakuamini #dance #maramojamojakwamwaka #minimlevimsemaukweli Mara moja kwa mwaka kibahati unaezapata nikitoa sadaka lakini ye ananimwagia baraka huyu Mungu ndio mi ninataka mi ni mlevi msema ukweli kwani nitakosea nini nikisema ukweli amenifungua macho sahii naona ukweli na kutoka sahii nimeacha ulevi unangoja nini kwani utaishi kwa dhambi faster, ju we ni youth na hauna kitamb na ukuwe fit kama wasee wako kambi ndio sin ikikam unaziachia lami FOR SUPPORT TILL NO 3654729 All video and Audio rights reserved ®TeamSifu ©TEAMSIFU.INC