
4,715 views
9 Dec 2022
Song: Nani Angesimama Written by: Ebbynette Mmbone K. Performed by: Ebby Kush Album 1: NAAPA MIMI Audio: Great exploits studios Video by: Rowland Paj films This song is mainly from PSALMS 130:3 If you, LORD, kept a record of sins, Lord, who could stand? But with you there is forgiveness, so that we can, with reverence, serve you. The Bible in Romans 3:23 clearly tells us that all have sinned and fall short of the glory of God. So, this song was written after a long meditation of how marvelous the Lord is, how merciful and gracious He was and continues to be. Special Thanks to: 1)God Almighty, 2)Head Knees & Toes for dressing us, 3)Abbie’s Foods LTD for feeding us during the shoot, 4)Kajuska Gospel for putting together all the nitty-gritty, 5)Dimples and Damaris as casts, T H A N K Y O U ❣️ Check out the lyrics and sing along 👇when you subscribe to 👉🏽👉👉🏻https://youtube.com/@ebbykushofficial at the description box. NANI ANGESIMAMA LYRICS Nani angesimama ,nani angesimama Nani angesimama nani angesimama Mbele zako zako zako Bwana Mbele zako zako zako Bwana*2 Eee ahaaaaa Katikia Yesu tu kidogo Verse 1 Mungu ni mwema ,tena mwenye huruma Amejaa rehema,hakasiriki ovyo Fadhili zake ,kweli niza milele Hunitia changamoto ,kwa neno lake Kama angehesabu maovu yetu, kama angehesabu maovu yetu ‘’Ninani angesimama kwa ajili yetu?’‘Jiulize? Nani angesimama ,nani angesimama Nani angesimama nani angesimama Mbele zako zako zako Bwana Mbele zako zako zako Bwana*2 Eee eee Verse 2 Akamwambia Nuhu,hii ni anagano langu Na pia vizazi, uzao bada yenu Kamwe uhai hautofutwa tena ee Kwa garika kwa garika yoyoyo… Kwa garika kwa garika yoyoyo… Wakati wowote upinde wa mvua Unapotokea juu mawinguni Nitauona, nami nitakumbuka ee Agano langu eee Agano langu eee Eeee tunapendwa na Mungu Twende Nani angesimama, nani angesimama Nani angesimama, nani angesimama Mbele zako zako zako Bwana Mbele zako zako zako Bwana *2 FIN Get Nani Angesimama on online platforms such as Spotify, Apple music, YouTube music, Amazon, Anghami and Deezer. Enjoy #naniangesimama #gospelmusic #gospelmusicworld # gospelmusic2025 #gospelsongs #gospelsongs2025 #kenyagospel #tanzaniagospel #swahiligospel #christiansong #christiansong #kenyangospel #congogospelmusic #kenya #kenyadigitalnews #ebbykush #Gospsongs #praise #worship #Jesus #rwandagospel #burundigospel #ugandagospel
