
496,152 views
Only One Delo feat VDJ Jones
27 Sep 2019
#Onlyonedelo #Epuka #Ngomma Epuka is a swahili word to mean avoid. Delo & Vdj Jones Team Up to give u this awesome club banger! Executive producers- VDJ JONES & BLACK MARKET RECORDS Producer-Mavo on the Beat Video-Director Andere #TheOnlyDelo#Ngomma Genge #VDJJONES EPUKA Lyrics THEONLYDELO 2ND TRACK EPUKA LYRICS CHORUS Mi ndio yule kijana wazazi walikuambia EPUKA Cheza na hizo bale unauwa jo ndani ya bukla Cheka na huyo msupa anapata alifungua duka But ni heri afunge kama stock inatupa. 1ST VERSE Hii ni noma, hii ni crazy Hii si homa, hii si ushenzi Kazi kuroga, sijawai kuwa lazy We songa wacha mapenzi Kila siku turn up, kumeza vitu heavy Mi ni player kazi ni kugonga neti Big deal DELO kwenye sehemu nyeti Namba kumi na saba mgongoni cheki jersey Ndani ya room biashara yaani kazi Amepiga magoti anameza ndizi Kitu bwaku bila ata maji Alicheki ring akalia ati magic Kama huwezi rada basi jo we ni pimbi Kama huwezi fika bei tuliza vitimbi Toto si toto jo waroro ndio wengi Ndoto ni ndoto na wasoro siwapendi. 2ND VERSE MID Kwanza usiwai sese dem akiwa juu ya aluta Ni ka umcheki na wig kisha umpate na matuta Gari hiwezi songa bila kuseti mafuta Napenda nikiroga kama nimepiga mbichwa Napenda mkibonga mnaibisha size ya kichwa Akili mmejinyonga mnakaribisha riswa Saa mbili mkononi ndio ni cheze na wakati Jangili mkoloni sijai fyat ju ya tire Zzzzh Zzzzh na maisha inavutwa Zzzzh Zzzzh na mi hupenda zile mbichwa Zile nikipiga ninaziskizia hadi kwa kichwa Zile zinafanya nina spit jo ki ninja Cheza na hiyo beat ni ki spit piga picha Cheza na hiyo meat nikishit imeharibika DELO on the beat sahi na kila dakika Nilikuwa hatari na sa hizi nimeharibika 3RD VERSE LAST Nimeharibika na nilikuwa hatari Ni ka ulete shada alafu niongeze asali Ni ka ulime shamba alafu usipalilie ndani Mama wa kwako bro ameshinda amenitamani Nachukia kupigia poko alafu anaulizia ni nani Buy goods and services na mfuko nina chwani Nashukuru sana bro kwa kuniita mtiaji Na hizo viatu imbo zitumbukize ndani ya maji Gidhaa inasonga na hujatoana ata panty Kutu itakuuwa vile nakuuwa na kipaji Still a real one na nimeishi na watu dirty Still a bad man na nimeishi na ma babi Before unicheki kwa mbulu wacha kwanza ni seme asante Na before uanze kuabudu juwa kwanza we ni nani Watu kuchorea mungu na kuanza kuabudu ganji Nitawapeleka na rieng vile na wa beba na hii kipaji. Channel Administered by Ngomma VAS Limited. ©2019