
280 views
22 Jan 2026
Barikiwa sana na Wimbo huu. Imeteguka ni wimbo ulioandikwa na Mwimbaji/Mtunzi Isaac Isabwa. Anahimiza na kutia moyo yeyote atakae utazama wimbo huu. katika nyakati za sasa Uadui up, ila katika yote Mungu huwaokoa wanaomtegemea. jinzi alivyomuokoa Modekai na njama zake Hamani. #Divine fulfilment.