
801 views
Aisha Saringe anasema kuwa kufanya kazi kama video vixen pekee huenda kusitoshe kukidhi mahitaji yote ya maisha. Anashauri kuwa na biashara au shughuli nyingine ya kujipatia kipato ili kuimarisha hali ya kifedha na kuwa na chanzo mbadala cha mapato.