24 views
Konnect on Radio Maisha
Aired 23 Oct 2026
6:03
Faith Okwisa anaeleza kuwa menopause si ugonjwa, bali ni hatua ya kawaida katika maisha ya mwanamke. Ni muhimu kuelewa mabadiliko yake na jinsi ya kukabiliana nayo.