
379 views
mswada umepitishwa unaopendekeza kuondoa matangazo ya moja kwa moja ya matokeo ya uchaguzi wa mwaka 2027. Hii ina maana kuwa wananchi huenda wasiweze kufuatilia moja kwa moja utangazaji wa matokeo kupitia televisheni au majukwaa mengine ya habari.