15,106 views
Phanice Iminza
31 May 2021
AMENISHANGAZA ni wimbo niliouimba kutokana na vile Mungu alivonitoa mavumbini na kuniinua juu sana .nakuhimiza nawe zidi kumwaminia Yesu maana ni mwema saana .sms SKIZA 7916845 to 811