
5,215 views
4 Jan 2019
SMS SKIZA Sms SKIZA 7741160 Send to 811 Lyrics..... Hook: Yesu amenitendea cheki pia ameniinuaa Mi napiga makofi Ameondoa huzuni cheki pia hakuna kuliaa Mi napiga makofi×2 Chorus Piga piga piga mi napiga Makofi eh Piga piga piga mi napiga Makofi eh ×2 Verse one Amenitendea mengi mengi silalamiki Nikweli alinitoa mbali kwa calamity Khai we ningekuwa kamiti Siku hizi Buda nipate tu ma meetings Nakumbuka vitu mbaya eh nilifanya Watu walinichungulia kwa kamwanya Wakisema ati huyu anakaa panya Ati maishani eh huyu hatapenya Yesu alicome through ikabaki story Walionicheka eh wanasema sorry Kumbe hawakujua yesu wangu mgori Ka takatifu nawasho bila yesu ningori Amekuwa nami nami amenitendea mengi Kanibadilisha rangi niite Peter marangi Mi mtoto wake Yani ye Ni daddy Nikimaliza kazi nitavishwa taji (×2) Hook.. . Yesu amenitendea cheki pia ameniinuaa Mi napiga Makofi Ameondoa huzuni cheki pia hakuna kuliaa Mi napiga Makofi eh ×2 Chorus.. Piga piga piga mi napiga Makofi eh Piga piga piga mi napiga Makofi eh ×2 Verse two.. Alinipenda penda hivyo bila kitu Pendo lake la kweli Ni kwa kila mtu Kila siku sitachoka Yani mi kumsifu Ahadi zake za kweli ye Ni mwaminifu Usikate tamaa hata ka maisha Ni ngumu Kumbuka mvumilivu manze ye hula mbivu Zidi kukazana wewe usiwe mvivu Jipe Moyo kabisa utaongezewa nguvu Usiyaskize maneno we mngojee mungu Usikate tamaa we usinywe sumu Utabarikiwa sifa ifike kisumu Wakutafute wewe wakupigie simu Mwaamini yesu hatakuangusha Mfuate yesu hatakuchokesha Utaishi na furaha atakuchekesha Cheki pia wewe utapiga Makofi (×2) Hook: Yesu amenitendea cheki pia ameniinuaa Mi napiga Makofi eh Ameondoa huzuni cheki pia hakuna kuliaa Mi napiga Makofi eh (×2) Chorus : Piga piga piga mi napiga Makofi eh Piga piga piga mi napiga Makofi eh (×2) Be blessed😍 SOLOH MSOH - MAKOFI (Official video)