
10,385 views
18 Mar 2020
song Yesu Atainuliwa lyrics 1.Imani yako imetoweka, huoni haja ya kuishi ndugu, umepoteza matumaini katika maisha haya, matumaini yapo weka imani leo kwa Bwana, jawabu la mashaka yako nyenyekea kwake leo hii. Yesu atainuliwa juu juu juu, alivyoinuliwa joka la shaba, jina la thamani ,Yesu kristo, hapa tunapata jawabu tosha, tazama tazama msalaba, msalaba wa Yesu tupate faraja moyoni. 2. Kaskazini magharibi kilio, hofu kote duniani kweli, lakini jemedari mkuu atayapanguza machozi yetu, shikilia imani mwenzangu safari hii yenye vikwazo, karibu tunafika ukingoni, ukingoni mwake.