
4,069 views
18 Mar 2020
song Msifadhaike Mioyoni lyrics Msifadhaike mioyoni mwenu, mna mwamini Mungu niamini nami, nyumbani mwa babangu mna makao mengi kama sivyo ningaliwaambia, maana naenda kuwaandalia mahali pale nilipo nanyi muwepo. 1. Mkipita katika mafuriko, mimi nitakuwa pamoja nanyi, mkipita katika mito, haitawashinda nguvu, mkitembea katika moto hamtaunguzwa,, maana mimi mwenyezi Mungu wenu. 2. Bwana asema kwamba niliwaumba kwa jina langu, niliwaumba wote na kuwafanya kwa ajili ya utukufu wangu uuu! mnathamani mbele yangu, kwa kuwa nimewapa hadhi na kuwapenda.