
57,760 views
19 Jun 2026
Kwa maana nimesadiki ya kwamba wala mauti, wala uzima, wala malaika, wala wenye mamlaka, wala yaliyopo, wala yatakayokuwepo, wala nguvu, wala kimo, wala kilindi, wala kiumbe kingine chochote hakitaweza kututenga na upendo wa Mungu. WARUMI 8:38-39. Video Directed by ALLI ALLI. Audio by Ibrahim Osborn. Author: Phaustine Okitwi.