
96,845 views
Boutross feat Dope-I-Mean
17 Feb 2023
Boutross ft. Dope-i-Mean - ITHAA (Official Music Video) LWKY To stream 'Mawingu' on DSP, visit https://onerpm.link/Boutross-Mawingu. Channel Optimized By : https://psychipp.com/ke The 'Ithaa' lyrics, presented in a shrap version, include verses by Boutross and Dope-i-mean. The lyrics are enclosed in lyric symbols: 'BOUTROSS VERSE: ♪ Yea, ei, si pendizi form, KWANI! Juu morio alishikwa mali mtaani Aki rombosa ngoko flani Chali alishutwa ati hajui ni ya nani Kumbe huyo ngweus alikuwa asha mseeti Boy alishindwa nigani ndio maana hauwezi Nipata na ngweus ana itwangwa nyokabi Story za nyoka ndio si taki Na skianga siku hizi vijana wameshika Na shindwa wameshikia wapi Me na uliza tu mara ngapi Tumeingia stage tukaangusha mabati There is too many fish in the sea Ni sawa kuna shark na kuna tilapia Kuna wenye hukulanga vifiti vibaya Na kuna wenye hukulanga mafi Niko Ithaa eeh, vile ita kuja haina worse Asha ni ambianga ni sawa Nika mwambianga reverse Aah, aah, ok, what haaa! Drop it like baby a slut Aka ni ambianga ni sawa Nika mwambianga reverse ♪ DOPE-I-MEAN'S VERSE: ♪ Kuna sos flani mtaani Ana gari lakini yu dedi mamboch Ata na shindwa ni aje I thought ukiwa na ganji Maskimbi hu flock So me na wife wake hupiganga shower Mangware aki chuck tuko ndani ya bafu Kwenye wasafi na chezanga chafu So nina nguna wawili watatu Inani shinda mathafu heeee! Maskani nakunywanga uji ya njoti Me ndio kunyamba kusema kwa ploti Ni ite alibaba juu geri forty Ata jo jaba ikishika sichochi Fikiwa kahawa ukule makofi Ukiingiza baridi, jo shika kikoti Juu me ni kali uta kula ma swaki juu niko Niko Ithaa eeh, vile ita kuja haina worse Asha ni ambianga ni sawa Nika mwambianga REVERSE ♪ #Boutross #Ithaa #Dopeimean #Lwky
Boutross feat Jovie Jovv