Mbunge wa Malindi Aisha, pamoja na mlinzi wake kusalia korokoroni hadi jumanne wiki hii

  • | K24 Video
    Aisha Jumwa, na mlinzi wake Geoffrey Okuto watalazimika kusalia wageni wa serikali hadi jumanne wiki hii watakaposomewa mashtaka. Koti mojao Mjini Mombasa imeamuru wawili hao kusalia kizimbani hadi watakapofanyiwa uchunguzi wa kiakili