Serikali imehimizwa kununua vitabu vya filamu, ili wanafunzi wapate ujumbe uliyokokwenye

  • | K24 Video
    Walimu wa Shule za Msingi, Sekondari na wale wa Vyuo Vikuu Kaunti ya Kakamega, sasa wanaitaka Serikali kununua vitabu vya filamu ambazo wanaendelea kuvitoa na kuvisambaza kwenye shule tofauti kama njia moja wapo ya wanafunzi kupata ujumbe uliyoko kwenye filamu hizo