Safari ya mageuzo ya katiba huenda ikafanyika hapo kesho

  • | K24 Video
    Kumekuwa na ishara kutoka kwa viongozi wa kisiasa hasa wanaounga mkono mapendendekezo ya kubadilisha katiba kupitia BBI, kwamba ripoti hiyo inaweza kutolewa kwa umma wiki hii huku waliokaribu na maafisa wakuu serikalini wakidai kuwa ni rasmi kwamba huenda kesho safari ya mageuzi ya katiba ikaanza na  kura ya maoni ikitarajiwa kufanyika miezi sita baadaye.