Je, hospitali zina uwezo wa kuwashughulikia wagonjwa waliopata maambukizi ya COVID-19?

  • | K24 Video
    Maambukizi ya virusi vya homa ya korona humu Nchini yameanza kupanda kwa kiwango cha kutia hofu ikilinganishwa na siku za hapo awali, swala kuu linaloibuka ni iwapo hospitali zina uwezo wa kuwashughulikia wagonjwa waliopata maambukizi hayo iwapo idadi itazidi kuongezeka.