
2,697 views
18 Jun 2024
Lyrics 1) Namwona Kwa umbali Baba ananikimbilia.Mimi nisiyestahili na mpo-tevuu. Niliyeaga nyumbanii kutokana Mali yote. Sasa yatosha Jangwani, Mimi mdhambi Chorus) Sauti yake Bwana yatuita kwa upole, niongoze nishike mkono yesu Bwaana. Twapokea rehema msamaha msalabani pokea wokovu Rudi nyumbanii 2 ) Tumaini la wokoovu, yapatikana nyumbanii, Kama ni Siku za nuhu safina lipo, ili waokoe wote, waliosikia wito. Pokea Kwa Imani wokovu buree.