
2,572 views
27 Aug 2019
Ujumbe mzito uliyopo katika wimbo huu ni maalumu kwaajili ya Maombi kwa nchi ya Tanzania na nchi nyingine kwaajili ya majanga, tumeshuhudia kwa kipindi cha hivi karibuni majanga mengi hususani ya ajali yakiikumba nchi zeztu, na pia ni maalumu kwaajili ya kuwaombea ndugu zetu waliyopoteza maisha katika ajali ya Morogoro, ungana nasi kuusikiza ili katika Roho tuombee nchi zetu