
2,944 views
11 May 2020
#LEILA #KAWANGWARE #SLIMDADDY AUDIO:banny music VIDEO:DIRECTOR philip dolin Lyrics Renie artist, (hihahaha) Huuuuh, leila aaahh Aaah leilaaa aaah Huuuu leilaaaa Leila, leila aahhh Leila ni kabinti kadogo, Kanaishi kigogo Kwa baba na mama aahh, (yaake) Leila zimemponza shobo Maana ana kadogo Kugonganisha mabwana, (ndio zaake) Wazazi wamesema na machozi wakalia (haaa aaah 😭) Mtoto kawa cinema, wameiwachia dunia Chorus Oh leila, leila leila leilaa, leila hooo Leila, leila, leila hooo Leila aaaah (tamaa la gofu, umefuga dondaaa, utakuja kulea kovu,) Leila hoooo.. Mmmhh, aaah, Anaringia sura, kwani wangapi walikuwepo Na leo hawapotenaa, Mara ana kesi mbagala, na wahuni (wanamsaka) Na wala hachagui pa kulala hata clubuni Anauchapa 🍆🍑) Wazazi wamesema na machozi wakalia Haaa aah 😭 Mtoto kawa cinema, wameiwachia dunia Oh leila Chorus, Leila leilaa ahhhha oooh, *2 Bridge, LEILA LEILA, dunia aah leila anapita leila, leila leila, Wee aacha leila, leila leila #slimdaddy hatubishani naoooo ❤️