
7,997 views
22 Apr 2025
Basi nambie ni wimbo wa kitanzania ulioandikwa kwa lugha ya kiswahili wenye ujumbe wa kutaka mpenzi aseme kitu gani anahitaji apewe zaidi ya upendo na huba..muziki huu umeandikwa na wyse tz na kuandaliwa na Mr.LG Na video imetengenezwa na Muongozaji NUMZ VISUALS Karibu na furahia mziki mzuri Ahsante