
12,137 views
5 Mar 2021
#AmaxMedia #GoldenHarpMinisters #Redspringsrecords THE GOLDEN HARP MINISTERS SONG: Mtoaji Wa Uhai ALBUM: 3 COMPOSER: @brayomuziki VIDEO: @amaxmedia9382 AUDIO: @RedSpringsRecords0708292121 DRESSED BY: EDDCREATIONS -https://www.facebook.com/Eddsews/ REACH US VIA: Facebook: The Golden Harp Ministers Youtube: The Golden Harp Ministers-Kenya Whatsapp: +254797084629 OFFICIAL LYRICS STANZA 1 Mtoaji wa uhai ataita mali yake katika ufufuo wa kwanza, wakati wa ushindi, tarumbeta ya mwisho itakaposikika mbinguni. Yule mtakatifu aliyejulikana na Mungu kwa jina lake atafufuliwa tena, furaha isiyokifani, ushindi tutaupata CHORUS Yesu Kristo alishinda juu ya kifo na kukodisha vifungo vya kaburi, na wale walala kaburini watashiriki ushindi, watatoka makaburini mwao kama vile Yesu alivyotoka, tusilie kama wasio na matumaini, kifo hakitakuwa na nguvu tena, Bwana alikwishathibitisha STANZA 2 Tutengeneze njia zetu ili ataporudi tuwe katika kundi lile ndogo litakalo paa juu angani pamoja na jeshi lile la bwana lijapo, tusiwe na hofu kwa maana kifo kilikwisha shindwa Bali tujihushishe na kuiga tabia ya Kristo ili tuweze kuhepa Moto wa jehanamu