
21,284 views
10 Sep 2020
Imani Out Now! Lyrics written and performed by: Lydiah Maina Music produced by: Bwenieve Production Video by: Steve Mugo #Imani #LydiahMaina #Kenyangospel #swahiligospel #NewGospelWave LYRICS ehhhhh Neno lako ni upanga Ukatao Kuwili (ukatao kuwili) Usemapo jambo we si Mwanadamu ohh ugairi Neno hili ni roho na uzima (yeah yeah) Neno hili ni roho na uzima Nina imani ndani yako Nina amini Neno lako I am confident in you I am confident in your word, Neno, huchambua nia na fikira za mioyo yote, mioyo yote Najitahidi kupata kibali chako Sioni haya kwa kazi yako Nikifundishwa na Kufundisha Neno lako Najitahidi kupata kibali chako kwa Neno lako Nina imani ndani yako Nina amini Neno lako I am confident in you I am confident in your word To Partner and Support. Equity Bank (Kenya) Ltd Account Name: Lydiah Wanjiru Maina Account Number: 1090160611505 Bank Code - 68 SWIFT CODE: EQBLKENA BRANCH CODE : 109