This video is no longer available on YouTube. You can still watch more from the same artists below.

12,035 views
18 Jul 2019
Amazed Manju x Maliki Kevin Moyoni Mwangu (Official Video) Audio by Benali on This Video by Director 3SS (3SS FILMS) A Good Idea Creatives Production title: moyoni mwangu Ephesians 4:27 neither give devil place #Naenda ng'ambo #Ntongeria Jesu #mbonekanira #mda wayoyoma lyrics mmmh hai Ni Amazed Manju nananananananana, Na Maliki Kevin instrumental: mda wayoyoma shetani nakupa kisogo, namfwata yesu aje anipe kitu kidogo, ingawa safari ni ndefu Mimi sitakata tamaa, nitamngoja Rabi aje anitimizie maono, mtaka Cha mvunguni, sharti ainame, Nimeng'ang'ana sana najua nitapata mwishowe, hawakukosea walo sema, subura ya vuta heri, Nitasubiri nione kama itakuwa heri, kufuata devil hakuna maana, hiyo ni hasara, mfuate yesu upate faraja, na itakuwa sawa, huwe umetoka Kampala, ama hata Mombasa, mtumainie tu Maulana, na itakuwa sawa. Chorus: Moyoni mwangu Shetani hupati nafasi, maishani mwangu Mungu pekee na muamini haaaaya. Moyoni mwangu Shetani hupati nafasi, maishani mwangu Mungu pekee na muamini haaaaya. verse 2 Maisha ni kama safari usipo chunga utapata ajali, mueke Mungu mbele sababu bila ye waweza pata majaribu, Maisha ni kama safari usipo chunga utapata ajali, mueke Mungu mbele sababu bila ye waweza pata majaribu. Ntongeria Jesu eeeh na umpe inya, Ntongeria Jesu eeeh nkinye bwega, Ntongeria Jesu eeeh na umpe inya, Ntongeria Jesu eeeh nkinye bwega. Sina Mambo ooohh Naenda ng'ambo, usije leta jambo oooh, songa kando, Sina Mambo ooohh Naenda ng'ambo, usije leta jambo oooh, songa kando. Mvumilivu ula mbivu mi nitang'ang'ana nitang'ang'ana, ili nifike kwa Yesu mokozi aje anipe kitu kidogo, Mvumilivu ula mbivu mi nitang'ang'ana nitang'ang'ana, ili nifike kwa Yesu mokozi aje anipe kitu kidogo. mbonekanira, baba mbonekanira haha, Mbonekanira Jesu Mbonekanira haha, mbonekanira, baba mbonekanira haha, Mbonekanira Jesu Mbonekanira haha. chorus: Moyoni mwangu Shetani hupati nafasi, maishani mwangu Mungu pekee na muamini haaaaya. Moyoni mwangu Shetani hupati nafasi, maishani mwangu Mungu pekee na mwamini haaaaya. Nikona wewe baba, Nifikishe salama, maana bila weh baba, Mimi siwezi hii, bariki njia zangu, Nitembee nawe baba, niwezeshe maishani, eh Mungu wangu eh, Nikona wewe baba, Nifikishe salama, maana bila weh baba, Mimi siwezi hii, bariki njia zangu, Nitembee nawe baba, niwezeshe maishani, eh Mungu wangu eh. Moyoni mwangu Shetani hupati nafasi, maishani mwangu Mungu pekee na muamini haaaaya. Moyoni mwangu Shetani hupati nafasi, maishani mwangu Mungu pekee na mwamini haaaaya. The end.