
25,369 views
17 Jun 2022
#gctvmedialtd Tumaini lako umeweka kwa nani, naye Yesu amesema yeye ndiye njia ya kwenda mbinguni, nami ninamtumaini Yesu kwani ninatamani kufika mbinguni Heri nife nikiwa na matumaini na nife kama mteule siku ya mwisho niwe na hakika ya kufufuliwa tena.