
36,140 views
14 Dec 2021
Song ~ Ubarikiwe Artist ~ Abel Vee Studio - Best Records Shot By ~ Kevin Ngugi Dir ~ Abel Vee +254700187878 New Video for thanksgiving and a prayer for God's blessing. If you like Worship Videos then here is a brand new gospel video for you to worship and praise God. Naomba Mungu akubariki na anibariki na mimi. Subscribe and let's sing together. Amen! Song Lyrics Mungu wangu ametenda sitanyamaza, Mchana kutwa nitaimba hata usiku wa giza Hata kama ni kidogo kwangu ni dunia nzima, Maana wengi wetu tutokako ni bora uzima, Hata kama kidogo dunia nzima, Maana wengi wetu tutokako ni bora uzima Nilipolia nilikua solo, kwenye shida solo, Hakuna wa kunihurumia, Akaniambia imekua so long, Ukiwa low low, Leo nitakusaidia *2 Nibariki-e Nibariki-e e Nizidishie nizidishie e Ubarikiwe ubarikiwe e Uzidishiwe uzidishiwe e Mwanadamu aniambie nini nikiwa nawe, Nikikosa anipendee nini sitaki mie *2 Nikiwa chini wanacheka cheka cheka cheka, Mimi si wa maana, Nikiwa nacho wanipenda penda penda penda, Wameona nimebeba mana *2 Hata kama ni kidogo kwangu ni dunia nzima, Maana wengi wetu tutokako ni bora uzima, Hata kama kidogo dunia nzima, Maana wengi wetu tutokako ni bora uzima Nilipolia nilikua solo, kwenye shida solo, Hakuna wa kunihurumia, Akaniambia imekua so long, Ukiwa low low, Leo nitakusaidia *2 Nibariki-e Nibariki-e e Nizidishie nizidishie e Ubarikiwe ubarikiwe e Uzidishiwe uzidishiwe e Maombi yangu, Kwa Baba iye iyee Maombi yangu Kwa Mungu iye iyee Akubariki na wewe, akubariki na wewe Akuzidishie nawe, akuinue na wewe Nakuombea Nibariki-e Nibariki-e e Nizidishie nizidishie e Ubarikiwe ubarikiwe e Uzidishiwe uzidishiwe e