
2,580 views
13 Dec 2021
#NgommaKenyanMusic #gospel music © 2021 channel administered by ngomma vas, For booking +254 745725459 piusngituyu@gmail.com Song produce at kindrays street record Video by , kindrays jr Songwriter, Mr bullet Yesu Nuru anagaa ndie nyotanyota Kila time kumetameta Baba yangu namfuata fuata Yesu diye yetu super power Na kiongozi wa viongozi Jina la yesu linagara Hay hay Linagara Hay Jina la yesu linagara Hay hay Linagara Hay Linagara kabisa Ata kwa Giza aa Linagara linagara, Linagara gara gara Yesu ndiye alpha Omega Teka mwanzo Ndiye Ebenezer Zote dugu na ata dada Yesu ndiye the real Don dada Ninajua Anatupenda na mbele zake tuna sarender Ninajua anatupenda na mbele zake tuna sarender.