
13,197 views
30 Oct 2025
Yesu Unipendaye Lyrics Verse 1: Yesu unipendaye kwako nakimbilia, Ni wewe utoshaye mwovu akinijia. Yafiche ubavuni mwako maisha yangu; Nifishe bandarini, wokoe moyo wangu. Verse 2: Ngome nyingine sina; nategemea kwako, Usinitupe Bwana, nipe neema yako, Ninakuamania, kuniweshesha; Shari wanikingia, vitani wanitosha. Verse 3: Nakutaka mpaji, vyote napata kwako; Niwapo muhitaji, utanijazi vyako; Nao waangukao wanyonge wape nguvu; Poza wauguao, uongoze vipofu. Verse 4: Bwana umeniosha moyo kwa damu yako; Neema ya kutosha yapatikana kwako; Kwako Bwana naona kisima cha uzima; Mwangu moyoni, Bwana, bubujika daima. Subscribe to Destiny Linius Official for more gospel music that heals, uplifts, and ignites your spirit. #YesuUnipendaye #DestinyLinius