
722,359 views
20 Jun 2018
Kwa mara ya pili, skizeni kwa makini, prime time yangu kafika, pima rutini Making the oz it's better to be out with your boys, making some trolls, so pretty homies sticking toys Napiga time check sa ngapi, fungua radio yako, piga fine tune, cheki kama ni Tisa nane ntane, tisa sita ntane Twende tukawake, huko Nairobi West, tupitie South C, kashamba kapande Twende tukawake, huko Nairobi West, tupitie South C, South C, South C Nasema huu mwaka nimekuja kuvuka mpaka, with ilicit rhymes na-preach kama pastor Pastor? mababi nao rasta wote wamechacha kwenye dance-floor, chini kwa chini ikibamba shika namba kamata wako Escort kwenye dance-floor nachora mpango, niothes, wapi wale wadhii wachore, wako kule nje wana finya vidole Bas, pitisha hiyo gomba tuchonge, nusu lita ya Sprite toboa na ibambe, kuanzia saa hii hadi time gomba itanasa na wale wako ndani pale itabamba